
Linex – KWA HELA | Lyrics/Mashairi
Song:KWA HELA intro Jejejeda the V.o.a Ema the boy Verse one wanaosema hua nachezea nakuacha hawaijui siri kubwa na maumivu niliyoyaficha walimwengu wanakutisha mila macho ukifikicha siunajua ugonjwa wangu Wa moyo nikishapenda nimependa x2 hujanipendea pesa wala majumba Kama ya bwana Alma’s ni kwa neema zake nikwa Neema zake yeye ni kwa Neema…