Linex – KWA HELA | Lyrics/Mashairi

 
Song:KWA HELA
 
intro Jejejeda the V.o.a Ema the boy
Verse one
wanaosema hua nachezea nakuacha 
hawaijui siri kubwa na maumivu niliyoyaficha
walimwengu wanakutisha
mila macho ukifikicha
siunajua ugonjwa wangu Wa moyo nikishapenda nimependa x2
hujanipendea pesa
wala majumba Kama ya bwana Alma’s
ni kwa neema zake
nikwa Neema zake yeye
ni kwa Neema zakee
unazidi nipenda kwa kasi 
ananiliwaza kwa mziki mzuri
toka Sony wega 
Ana nikonga kwao kasulu ndoko alikofundwaa
she suppose to be my wife
she suppose to be happy she suppose to have my ring she suppose to be happy
Chorus
hautamani niwe bachela
au niwe na mpenzi mpaka kwa hela
Una mapenzi yenye moto Wa kuotea mbali
taratibu mwenzako Nina kamba mguuni x 2
verse Two kwa nini nitoe michango kila siku wenzangu wanaoana x2 
she supposed to be my wife 
she suppose to be happy
she suppose to have my ring
she suppose to have big welding 
ananipenda vile sidanandi
ananipenda vile mi sidangi 
ananipenda vile sio kinega 
ananipenda vile mi sidangi
ananiliwaza kwa mziki mzuri
toka Sony wega
ananikonga kwao kasulu 
ndiko alikofundwa
she suppose to be my wife
she suppose to be happy 
she suppose to have my ring
she suppose to have my ring she suppose to be my wife
she suppose to be happy
Chorus
hautamani niwe bachela
au niwe na mpenzi mpaka kwa hela
Una mapenzi yenye moto Wa kuotea mbali
taratibu mwenzako Nina kamba mguuni x 2
Bridge
wanaokupigia mayowe 
watakupigia vigelegele
wana gere watakua mstari Wa mbele kukuimbia
unameremeta meremeta Kama taaa 
Una meremeta meremeta Kama taa
Fuhura umwana yaya 
agende muwage
fuhura umwana yaya agende muwage
Chorus
hautamani niwe bachela
au niwe na mpenzi mpaka kwa hela
Una mapenzi yenye moto Wa kuotea mbali
taratibu mwenzako Nina kamba mguuni x 2
 
autro
jejejejeda Side juma bhombo Ema the boy eeeee
Alexkumwamba x2
taratibu mwenZako Nina kamba mguuni 
we the VOA na Jembe Mzazi Paul leader Una mapenzi yenye moto Wa kuotea mbali…. 
 
Produced by Ema the boy 
Dir Hanscana

 Download DJMwanga Android Application Click HERE

https://goo.gl/Dpx8j4
JIUNGE NAMI KUPITIA 
Twitter: @djmwanga     
Instagram: @djmwanga     
Facebook Fans Page: DJMwanga