New AUDIO | Fred Swagg – Nimewaka | Download/Listen

Mwanamuziki anayekuja kwa kasi katika tasnia ya muziki Bongo, Fredrick  Kalala ama jina la usanii akijulikana zaidi, Fred Swagg ameachia wimbo mpya mtandaoni  ‘NIMEWAKA’  au ‘Nimelewa’. Fred Swagg mkali wa vibao vya Maandishi  alichowashirikisha Younf Killer na Kad Go.   Ameeleza kuwa katika wimbo wake huo mpya  wa Nimewaka, upo katika mahadhi ya rap,  ni maalum…