New AUDIO | Fred Swagg – Nimewaka | Download/Listen

Mwanamuziki anayekuja kwa kasi katika tasnia ya muziki
Bongo, Fredrick  Kalala ama jina la
usanii akijulikana zaidi, Fred Swagg ameachia wimbo mpya mtandaoni  ‘NIMEWAKA’ 
au ‘Nimelewa’.
Fred Swagg mkali wa vibao vya Maandishi  alichowashirikisha Younf Killer na Kad
Go.   Ameeleza kuwa katika wimbo wake huo
mpya  wa Nimewaka, upo katika mahadhi ya
rap,  ni maalum kwa watu wa rika zote
hasa  sehemu za starehe ikiwemo  Club.
“Wimbo huu mpya wa Nimewaka ni wa  ku-Party’ 
ndani yake kuna komediani ikielezea watu wanavyotumia pesa na kulewa
pombe za aina mbalimbali.. hivyo fans wakae mkao wa kula kuanzia sasa itakuwa
mtandaoni, ameleza Fred Swagg.
Fred Swagg 
anabainisha video ya wimbo huo zinatarajia kuanza muda wowote kuanzia
mwezi ujao huku  kwa sasa  akiendelea na promo za nyimbo zake  zingine 
zinazofanya vyema  kwenye vituo
vya radio mbalimbali za ndani na nje  
wimbo wa ‘Kikomo’ aliomshirikisha Msanii, Da Prince  na wimbo wa 
Maandishi aliowashirikisha Young Killer na Kad-Go.
Kwa mahojiano zaidi Fred Swag anapatikana kwa namba +255753-544898

DOWNLOAD via HULKSHARE

http://old.hulkshare.com/dl/rx3kjf6y2vwg/Fred_Swagg_Nimewaka.mp3?d=1

DOWNLOAD via KIKISTARMUSIC

http://www.kikistarmusic.com/uploads/tracks/445776023_1837107066_1197228898.mp3

JIUNGE NAMI KUPITIA 
Twitter: @djmwanga     
Instagram: @djmwanga     
Facebook Fans Page: DJMwanga

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *