EAST COAST TEAM IS BACK
MWANA FA & CREAZY GK KATIKA HALI INAYOONYESHA WAZI UJIO WA PROJECT MPYA TOKA KWA MOJA YA KUNDI KONGWE KWENYE MUZIKI WA KIZAZI KIPYA [BONGO FLAVA]”THE EAST COAST TEAM“NDIYO KAMA UMEWADIA, JUU NI PICHA INAYOWAONYESHA WASANII HAMISI MWINYIJUMA”MWANA FA” NA GWAMAKA KAILUA “CREAZY GK” WAKIWA NDANI YA STUDIO ZA MJ RECORDS JIJINI DAR ES SALAAM…