MWANA FA & CREAZY GK |
KATIKA HALI INAYOONYESHA WAZI UJIO WA PROJECT MPYA TOKA KWA MOJA YA
KUNDI KONGWE KWENYE MUZIKI WA KIZAZI KIPYA [BONGO FLAVA]”THE EAST COAST
TEAM“NDIYO KAMA UMEWADIA,
JUU NI PICHA INAYOWAONYESHA WASANII HAMISI MWINYIJUMA”MWANA FA” NA
GWAMAKA KAILUA “CREAZY GK” WAKIWA NDANI YA STUDIO ZA MJ RECORDS JIJINI
DAR ES SALAAM KATIKA MAANDALIZI YA MOJA YA KAZI ZAO MPYA,
Twitter: @djmwanga
Instagram: @djmwanga
Facebook Fans Page: DJMwanga