
Video: Msanii wa India atumia BEAT ya nyimbo ya Dully Sykes katika wimbo wake
Hii ni nyimbo iliyofanywa na Dully Sykes pamoja akiwashirikisha Diamond Platnumz na Ommy Dimpoz, beat ya nyimbo hiyo imetumiwa na Msanii wa kihindi na nyimbo yenyewe inaitwa Aana Voona Darling, hebu icheki hapa chini: Beat ya nyimbo hiyo hapo juu ni sawa kabisa na beat ya nyimbo ya Dully Sykes inayoitwa UTAMU aliyowashirikisha Diamond Platnumz pamoja na…