Hii ni nyimbo iliyofanywa na Dully Sykes pamoja akiwashirikisha Diamond
Platnumz na Ommy Dimpoz, beat ya nyimbo hiyo imetumiwa na Msanii wa
kihindi na nyimbo yenyewe inaitwa Aana Voona Darling, hebu icheki hapa
chini:
Beat ya nyimbo hiyo hapo juu ni sawa kabisa na beat ya nyimbo ya Dully
Sykes inayoitwa UTAMU aliyowashirikisha Diamond Platnumz pamoja na Ommy
Dimpoz, Nyimbo ya Dully Iko hapa Chini:
JIUNGE NAMI KUPITIA
Twitter: @djmwanga
Instagram: @djmwanga
Facebook Fans Page: DJMwanga