Donny Flavour Ft. Mr Blue Coming Soon

Msanii wa mziki wa Bongoflava Donny Flavour Ameamua kuvunja ukimya na kurudi kwa kishindo baada ya kuachia ngoma ya twende nyumbani na sasa anakusogezea ngoma yake mpya ambayo amefanya na rapa mkali kutokea Tanzania namzungumzia Mr Blue Kabyser ngoma inaitwa ”Ameniweza” Akizungumzia kuhusu ngoma hiyo Donny amesema toka muda mrefu alitamani kufanya ngoma na Mr…