AUDIO+LYRICS | DAYNA NYANGE – I DO | Download

LYRICS VERS:1 Nahisi raha Mpenzi wangu unanipa raha Raha raha Najihisi mwenye furaha Napata raha Mpenzi wangu unanipa raha Raha raha Najihisi mwenye furaha Kinachonishangaza Twapendana sie kwa nini uchukie Vibaya wanitangaza Hongera zawadi njoo uchukue Nikupatie kipaza Kwa sauti usema usikike Baby kasha nikataza Kaniambia nitulie BRIDGE I see it baby love on ur…