AUDIO | INASEMEKANA Darassa Kamwibia Dady Beda Kutokea Tanga IDEA Ya NYIMBO Pamoja na BIT SIKILIZA HAPA

ZIKIWA ZIMEPITA SIKU CHACHE TANGU Darasa Alipo Achia Singer Yake Mpya Chini Ya Mikono Ya MR.T.Touch Tunaishi Nimepokea Malamko Kwa watu Tofauti wakidai Darasa Nyimbo aliyo iachia Kamwibia Dady Beda Msanii Kutokea Tanga Alikuwa Amemshirikisha Darasa Kwenye Hiyo ngoma Ya Dady Beda Baadae Dady Beda Akashangaa Darasa ametumia mistari yake pamoja na bit kwenye ngoma…