ZIKIWA ZIMEPITA SIKU CHACHE TANGU Darasa Alipo Achia Singer Yake Mpya Chini Ya Mikono Ya MR.T.Touch Tunaishi Nimepokea Malamko Kwa watu Tofauti wakidai Darasa Nyimbo aliyo iachia Kamwibia Dady Beda Msanii Kutokea Tanga Alikuwa Amemshirikisha Darasa Kwenye Hiyo ngoma Ya Dady Beda Baadae Dady Beda Akashangaa Darasa ametumia mistari yake pamoja na bit kwenye ngoma yake
UNAWEZA KUISKILIZA/Download HIYO NGOMA HAPA CHINI
YA KWANZA NI YA Dady Beda alio Mshirikisha Darasa
Hii Hapa ni Ya Pili Ni Ya Darasa akiwa Amemshirikisha Nay Wa Mitego
UNAWEZA KUTOA MAONI YAKO KAMA NGOMA ZINAFANANA
Twitter: @djmwanga
Instagram: @djmwanga
Facebook Fans Page: DJMwanga