Juma Mussa ni mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania. Ana asili mchanganyiko kutoka Mikoa ya Mtwara na Morogoro. Jux alianza kuvuma kwa nyimbo zake za Nimedata, Mwambie, Uzuri Wako, Nitasubiri, Sisikii, Juu na Utaniua.
Mahali alikozaliwa: Dar es Salaam
Tarehe ya kuzaliwa: 1 Septemba 1989