Download | Play Now

AUDIO | Wakazi – Fall Of Roman Empire | Download

Ukurasa mpya (wa pili) wa BEBERU, unakuja kwa wimbo wa “Fall Of Roman Empire (F.O.R.E)”. Wakazi aliahidi kutoa album tatu, na wimbo wa utangulizi (produced by Ngwesa) umekuja na ujumbe mahususi kwa mmoja wa mahasimu wake.
Beberu (Reflections) ni album ambayo inagusia kila jambo lililotokea hivi karibuni na pengine zamani. Mahudhui hayo yatahusu masuala ya kiuchumi, Kisiasa, Kijamii na pia Binafsi hasa kwenye upande wa Sanaa. Baada ya malumbano ya muda mrefu mitandaoni, Wakazi has decided to prove that he reigns supreme on the mic, as far as rap skills and serve the track as a warning to his nemesis.
Whether kweli Beef zinakuza au hazikuzi muziki, jambo la uhakika ni kuwa hisia huamshwa, na umahiri hujulikana… kwa atakayepata ujasiri wa kuingia ulingoni.
Album ya Beberu inakuja…
Artist: Wakazi
Song: Fall Of Roman Empire
Songwriter: Webiro “Wakazi” Wassira, Hemedi Ngwesa
Producer: Ngwesa
Recorded by: Ommy Daddy (MV09 Records)
Mixing & Mastering: Mujwahuki
Artwork: Lizana Bradshaw

Download | Wakazi – Fall Of Roman Empire [Mp3 Audio]