Hit Maker wa Wimbo unaobamba In Town wa “MAPITO” Msanii wa Kike Mwasiti Jumatatu ya Wiki ya Kesho anategemea kuachia Bonge la Song kwa Mashabiki wake linalokwenda kwa Jina la “SEREBUKA”
Mwasiti amesema
wimbo wake huo Mpya utakuwa ni zawadi kwa Mashabiki wake kwa Mwaka
2014,Wimbo uliojikita kwenye mahadhi ya kumfanya kila anayeusikiliza
acheze.
wimbo wake huo Mpya utakuwa ni zawadi kwa Mashabiki wake kwa Mwaka
2014,Wimbo uliojikita kwenye mahadhi ya kumfanya kila anayeusikiliza
acheze.
Kwa hiyo Mdau wa Bongo Fleva na Shabiki wa Mahaba niue wa Mwasiti stay Tuned jumatatu Mzigo Unaanguka Hapa DJMwanga.com.