Mwimbaji wa Muziki wa Hip Hop Kutokea Nchini Marekani Mwenye Asili ya Nigeria REIME SCHEME, Amedhamiria Kuinganisha Afrika Hasa Tanzania Na Marekani Kwa Kuendelea Kufanya Kazi na Wasanii wa Tanzania, Leo Siku ya Ijumaa Amechia Wimbo Mpya Unaitwa AFRICA 2 AMERICA Aliomshirikisha Mwimbaji wa Bongo Fleva BI AISHA Kutoka Tanzania.
REIME SCHEMES , Amevutiwa Sana Na muziki wa Bongo Fleva Ndio Maana Mpaka Sasa Ameshafanya kazi na Wasanii Kama , G Nako, Amber Lulu, Dee Pesa, Mr T Touch na Abdadd.
Wimbo wake wa Mwisho Ni DEBE Ambao Amemshirikisha G NAKO Na unaendelea Kufanya Vizuri Kwenye Vitua vya Radio na TV Duniani na Hasa Hapa Tanzania .
Kwasa Unaweza Kumfuatilia Kwa Mitandao ya Kijamii Hapo Chini na Vile Vile Unaweza Kusikiliza Wimbo wake Mpya aliomshirikisha BI AISHA Kwa Mtandao wake wa Youtube.
Download | Reime Schemes x Bi. Aisha – AFRICA To AMERICA [Mp3 Audio]