VIDEO | Daddy Face Ft. Christian Bella – Come Back


Dady face ni msanii kutokea Burundi, ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la come back, na akiwa amemshirikiasha msanii nguli kwenye muziki kutokea nchini Tanzania nae sio mwengine ni mkali wa masauti Christian Bella.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *