Kwanza n’na furaha (n’na furaha)Nitaimba na kucheza (na kucheza)Washa mishumaa (mishumaa)Weka keki juu ya meza (juu ya meza)
Oh, ila, usinichekeNimekuletea zawadi kidogo n’lichobarikiwa (n’lichobarikiwa)Haki mwana mpwekeAje na dumu la maji, asije kakumwagia
Ah-ah, na kapicha kako nitaka-postWas’okupenda itawa-costAh-ah, leo siku yako nishajikokiTuko rafiki zako, tunasema“Happy birthday”
Happy birthday to youHappy birthday to youHappy birthday (ah-ya-ya) to youHappy birthday to you
Ah-ah, sinywagi pombe leo n’talewa (n’talewa)Niwape shombe wal’ochelewa (wal’ochelewa)Zikinipanda monde nitapepewa (nitapepewa)Ah-ah, pembe la ng’ombe au malewa
Ila usi-forgeti (kusema)Asante baba na mama wal’okukuza ukakuaTunakupa na keki (kwa wema)Akulinde Baba Maulana, twakuombea na dua
Ah-ah, na kapicha kako nitaka-postWasiokupenda itawa-costAh-ah, leo siku yako nishajikokiTuko rafiki zako tunasema“Happy birthday”
Happy birthday to youHappy birthday to youHappy birthday (ah-ya-ya) to youHappy birthday to you
Kata keki, kata (kata)Oh, kata (kata)Kata (kata)(Kata unilishe) keki ya jina lako (kata)Walishe na wenzako (kata)Tupo kwa ajili yako (kata)(Kata unilishe)
Oh, basi kata (kata)Oh, kata (kata)Kata nikwone (kata)Kata (kata unilishe)(Kata)(Kata)(Kata)(Kata unilishe)
Ah-ah, na kapicha kako nitaka-post
