Home Uncategorized Q CHIEF KUACHIA WIMBO ALIYOFANYA NA PATORANKING ‘KOKU’

Q CHIEF KUACHIA WIMBO ALIYOFANYA NA PATORANKING ‘KOKU’

Msanii mwenye sauti tamu kunako katika muziki wa Bongo Flava Abubakary ‘QChief’ Katwila, wiki hii anatarajia kuachia wimbo wake aliyofanya na Patoranking uitwao ‘Koku’.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram na Kurasa za mastaa wengine, kumeonekana picha inayoashiria kuja kwa wimbo huo.

Hii ni karata nyingine kwa Q chief kwa siku za hivi karibuni ambapo ameonekana kuwekeza zaidi katika muziki wake.
JIUNGE NAMI KUPITIA 
Previous articleNew AUDIO | IYO Ft. Diamond Platnumz – Loving You | Download
Next articleNew AUDIO | Nedy Music Ft. Christian Bella – Rudi | Download