Katika kusherehekea sikukuu ya Christmas, Vanessa Mdee, Tommy Flavour na mdogo wake Mimi Mars, wameungana kutayarisha EP yenye nyimbo 3. EP imetayarishwa kwenye studio za BKEJ. Nyimbo hizo ni pamoja na ‘Heri ya Christmas’, ‘O Holy Night’, ‘The Drummer Boy.’ Enjoy.
1.Vanessa Mdee, Mimi Mars & Tommy Flavour – Heri ya Christmas
DOWNLOAD
2.Vanessa Mdee, Mimi Mars & Tommy Flavour – The Little Drummer
DOWNLOAD
3.Vanessa Mdee, Mimi Mars & Tommy Flavour – O Holy Night
DOWNLOAD
JIUNGE NAMI KUPITIA