Msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ambaye Hivi karibuni ameweza kushinda Tuzo 3 za AFRIMA mwenye Hit Singer ya “SALOME” ameweza kutuonjesha kipande cha ujio wake Mpya.
Audio hii inaweza kuwaimevuja kwani yeye mwenyewe hajaweza kuipa promo kwenye akaunti yake yoyote mtandaoni ambapo si jambo lakawaida kwake.
Moja ya Mistari inayopatikana kwenye wimbo huo unasema
“Tatizo sielewi nikipi nilichowakosea walimwengu, Mbona nimejawa na dhiki, Nyama mnakula nyie mimi ni Dengu,Tena kinachoniadhibu mnayosema baya mazuri hamuyaoni, Wengine rafiki wa karibuMioyoni mnaroho mbaya mnanichekea usoni”
SIKILIZA HAPA