Mmoja kati ya wasanii wanaokuja kwa kasi sana katika ramani ya muziki Bongo Tanzania ni huyu hapa Chinbees kutoka Chugani Arusha.
Ni chorus killer, flows za kibabe ndio kitu ambacho kilimfanya iwe rahisi kukubalika kwenye ngoma kama “Macho kwenye Mapene” na nyingine kibao ambazo amesikika mkali huyo na hata zile ambazo ameshirikishwa kama Arosto, Sweet Mangi na nyinginezo.