Kabla ya kumfahamu akiwa WCB, Raymond ni msanii wa rap aliyefahamika
kitaa kwa uwezo wake mkubwa wa kufreestyle. Wengi hawaujui uwezo wako
huo hivyo sasa tunakupa ladha ya uwezo wake huo kama alivyouonesha
kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM Jumamosi iliyopita.
DOWNLOAD