Original Master Copy | Diamond & Khadija Kopa – NASEMA NAWE

Pamoja na kuwa wimbo mpya wa Diamond ulishfikia wengi kwenye mitandao inabidi kukubali kazi ya huyu kijana na kusikiliza Original Master Copy ya wimbo NASEMA NAWE aliyomshirikisha Khadija Kopa. Wimbo unapatikana rasmi kupitia HAPA
https://mkito.com/song/nasema-nawe/13840/bwi-1-27775

Pia furahia lyrics tamu kutoka kwa Diamond na Khadija Kopa.


VERSE 1 
Halloooo 
Aah, Kutwa viguru njiani majirani wote wamekuchoka 
Mara chumba cha fulani mtu gani we kwako usoka 
Washinda vibarazani ya wenzako kuropokaaa 
Kwa kuwa umemuona Fulani ona usoo ulivyokukoboka 
Sio mwisho vibaoni adi kwenye vigodoroo 
Usio na haya usoni kote wazua migogoro 
Ivi wewe haujioni kuwa unakasoro 
Uso mchana jioni si wajuz si tomorrow 
Sio mwisho vibaoni kwenye vigodoroo 
Usio na haya usoni kote wazua migogoro 
Hivi wewe haujioni kuwa unakasoro 
Uso mchana jioni si wajuz si aaaah! 

CHORUS 
Nasema naweee x3 
Uso haya nasema nawe 
Umezoea (nasema nawe) 
Chezea chezea (nasema nawe) 
Aaah!! Umezidi (nasema nawe) 
Zidi (nasema nawe) 
zidi (nasema nawe) 

VERSE 2 
Mmmmmhhh, mmmh 
Aahh!! Zingifuli zingifuli zinga mahala ukakaa 
Usoo mila desituri usiyejua tongozwa ukakataa 
Usio hiana fedhuri uongo umekuja 
Kujifanya mashuhuri kumbe chaka umechakaa 
Aagah!! Mwanzako mim turufu si garasa 
Mwenye nyota ya umaarufu si kupapasa 
Tena jokali la nguvu makarata 
Lile hodari maguvu si kwasakwasa 
Ooohh!!! Mwenzako mimi turufu si garasa 
Mwenye nyota ya umaarufu sio hozakosa 

CHORUS 
Nasema naweee x3 (nawe nawe oh) 
Uso haya nasema naweee 
Nasema naweee x 3(nawew oh) 
Nimechoka nasema nawee 
Umezoea (nasema naweee) 
Chezea chezea (nasema nawee) 
Aaah!! Umezidi (nasema naweee) 
Zidi (nasema naweeee) 
Uso haya nasema naweee 
Oooohhh!!! (nasema naweee) 
Nasema nawee x 3 (nawew oh) 
Nimechoka nasema nawee….
Twitter: @djmwanga     
Instagram: @djmwanga     
Facebook Fans Page: DJMwanga

ad

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *