AUDIO | CHABBA FT JORDAN – MURDER | Download

Ikiwa bado mixtape yake “Nyota njema ya mtaa” inaendelea kufanya vizuri
sokoni, Chaba a.k.a Baba mkubwa anayewakilisha 009 (Ngalimited) Arusha
city, anawazawadia wapenzi wa muziki wake track mpya na moto kabisa toka
Grandmaster Records chini ya utayarishaji wa producer John B akiwa
amemshirikisha Jordan aliyetisha na ngoma yake ya mapenzi vita mapema
mwaka huu.Huyu hapa ni Chaba akiizungumzia track yake mpya;- “Mmmmh! Hii
track basically, ni zawadi kwa mashabiki zangu kwa kuipokea vizuri na
kuinunua mixtape yangu ili pia wasio nazo waendelee kuinunua, na pia
bila kusahau kuwa kawa bado Baba mkubwa nawa-murder rappers wote
wanaoigiza sanaa”
Download HAPA Hiyo Track