Jinsi ya kuwapigia kura Diamond na Vanessa waweze kushinda tuzo za MTV MAMA 2015 #MTVMAMA2015

Mwaka huu Tanzania inawakilishwa na wasanii wawili kwenye tuzo za MTV Africa Music Awards KWAZULU-NATAL 2015 (MAMA), ambao ni Diamond Platnumz pamoja na Vanessa Mdee.  Ili Diamond na Vanessa waweze kushinda, nguvu kubwa inahitajika kutoka kwa mashabiki kwa kupiga kura kwa wingi sababu ushindi wa mabalozi hawa wa burudani ni ushindi kwa taifa zima la…