AUDIO | Mokomoko Movement – MOVEMENT ZANGU | Download

DOWNLOAD Ni kundi jipya kabisa toka mkoani Morogoro, lililokusanya wanamuziki wanaofanya mziki wa Hip Hop. Wanaitwa Mokomoko  Movement na huu wimbo unaitwa Movement zangu. Producer ni Vennt Skillz toka katika studio za Kwanza Records Mjini Morogoro.. Walioimba humu ndani ni pamoja na Tea Sigwer, Gonga, Rotta, Meddy Botion, Rajlam kipila, Vennt Skillz, kwenye Chorus yupo…