New AUDIO | Godzilla Ft Marco Chali – You And I | Download
Wimbo Mpya Wa Godzilla Ft Marco Chali – You And I uliokamilika usiku wa kuamkia 11/3/2014. Ndio wimbo wa kwanza kutoka kwa Rapper Godzilla ndani ya mwaka 2014 usiohusika na nyimbo za Mixtape zake.