Black Coffee Ni Nani Na Kwanini Ameshinda Tuzo Za BET? @RealBlackCoffee

Jina la Black Coffee, Sio jina linalotambulika sana miongoni mwa watanzania. Mimi binafsi nilianza kufuatilia kazi zake baada ya kutajwa kuwa miongoni mwa wanamuziki wanaowania tuzo za BET za mwaka huu katika kipengele cha Best International Act-Africa akiwemo Diamond Platinumz. Nikiri kwamba sikumfahamu mpaka mapema mwaka huu. Haishangazi kuona kwamba baada ya kushinda tuzo ya BET…