AUDIO | Akali HO – Joto | Download

DOWNLOAD About Joto Akali HO amerejea tena na hit nyingine mtaani JOTO. Huu ni mwendelezo wa bandika bandua ya hits baada ya kufanya poa na HUKUPENDA wiki chache zilizopita. Imekuwa kama surprise kwa wengi tuliomzoea Akali HO kama rapper na hapa akatuletea radha nyingine tofauti. Joto inatazamiwa kufanya poa zaidi hasa kwenye maeneo ya starehe. Ikiwa ni production ya mkali wa midundo H…