NEW MUSIC | GazaCross – Masoja | Download

Kundi chipukizi toka MoshiTown,Gaza Cross na wimbo wao wa "MASOJA" mahadhi ya Dancehall/Kwaito wakiwakilisha vema muziki wa kaskazini Duniani kote,pata kuusikiliza HAPA ,kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check...

Kionjo cha waimbo wa ShahBang ft Jordan – Uhai

ShahBang aka matejoo king anatarajia kuachia mzigo mwingine, "Uhai" alorekodi studio za noizmekah Productuions chini ya defxtro, ikiwa ni collabo aliofanya kwa kumshirikisha mwimbaji...

NEW MUSIC | TMK Wanaume Halisi ft Magenge – Nyama | Download

TMK Wanaume Halisi ft Magenge - Nyama

NEW MUSIC | Kingkapita ft DJ kalito, Ryder – Kasema Poa| Download

ZAWADI YA EID KWENU .... KUTOKA CHAKA....MZIGO MPYAAA....UJIO MPYA KABISAA...HIT MAKER MZEE WA MISEMO KUTOKA KUNATATIZO KWANI MPAKA NIGERIA NYIMBO IMEFANYWA NA STUDIO MBILI...

SNIPPET/KIONJO | Lord Izzy – Roho Zinawauma

Download SNIPPET/KIONJO cha wimbo mpya kwa jina "ROHO ZINAWAUMA" ya Lord eyes aka Lord Izzy N2N Soldier ilorekodiwa pande za Noizmekah Studio chini ya...

NEW MUSIC | MeccaCheka – Veve Yangu | Download

Pata Zawadi ya Eid toka MeccaCheka HAPA, goma linaitwa "Veve Yangu" juu ya mdundo wa Madee-Pombe yangu, katika freestyle moko mbili mizuka ya MeccaCheka...