Download | Play Now

NEW MUSIC | Ruler ft SpacDawg & Nutcracker – Peperusha Beef | Download

Msanii Ruler toka crew ya MIB pamoja na Nutcracker wakiwakilisha umoja
wa Vichwa Pamoja, Sakina kwa Iddi pande za Arusha,wamshirikisha
legendary SpacDawg katika ngoma yao mpya “Peperusha Beef” ilosukwa pande za Noizmekah Studios, download HAPA na kwa mawasiliano zaidi check na Ruler wa MIB kupitia +255 752 513 923 powered by www.vmgafrica.com