AUDIO | Dayna – Naumia | Download [Unaosemekana uliibwa na Diamond na kuuita “Number one”]

Huu ndio wimbo wa  Dayna ambao Diamond ameiba bit na melody na kuuita namba one.
Inasemekana awali Dayna alimtaka Diamond wakafanye wimbo kwa Shedy,
Diamond akakubali, akaskiliza mdundo na kumuahidi Dayna kwamba
wangefanya wote. Lakini baadae Diamond akamrubuni Shedy na kumwambia ile
bit ampe na aachane na kazi ya Dayna.

One thought on “AUDIO | Dayna – Naumia | Download [Unaosemekana uliibwa na Diamond na kuuita “Number one”]

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *