Download | Mamajusi Choir Moshi – PENDO KUU [Mp3 Audio]
🎵 Pendo Kuu – Mamajusi Choir
Verse 1
Pendo kuu la Yesu
Lilitosha Kalvari
Msamaha wa dhambi
Niliupata Kalvari
Alinipenda Yesu
Akaingia gharama
Msamaha wa dhambi
Niliupata Kalvari
Chorus
Alilipa deni zangu
Kwa gharama ya mauti
Msamaha wa dhambi
Niliupata Kalvari
Alilipa deni zangu
Kwa gharama ya mauti
Msamaha wa dhambi
Niliupata Kalvari
Verse 2
Yesu atuchunga
Mchunga wetu
Naye atufuta
Machozi yetu
Mkononi mwake
Hatuna hofu
Daima twapata
Kwake wokovu
Chorus
Alilipa deni zangu
Kwa gharama ya mauti
Msamaha wa dhambi
Niliupata Kalvari
Alilipa deni zangu
Kwa gharama ya mauti
Msamaha wa dhambi
Niliupata Kalvari
Verse 3
Namtolea Yesu
Nampa moyo wote
Ntampenda Yesu
Namwandama kila saa
Chini ya msalaba
Nataka kusimama
Ndiye mwamba safarini
Kwa kivuli chema
Chorus
Alilipa deni zangu
Kwa gharama ya mauti
Msamaha wa dhambi
Niliupata Kalvari
Alilipa deni zangu
Kwa gharama ya mauti
Msamaha wa dhambi
Niliupata Kalvari
Verse 4
Nataka nifahamu
Nizidi kupambanua
Mapenzi yake nifanye
Yanayompendeza
Nataka nikae naye
Kwa mazungumzo
Nizidi kuwaonyesha
Wengine wokovu wake
Chorus (Outro)
Alilipa deni zangu
Kwa gharama ya mauti
Msamaha wa dhambi
Niliupata Kalvari
Alilipa deni zangu
Kwa gharama ya mauti
Msamaha wa dhambi
Niliupata Kalvari
Msamaha wa dhambi
Niliupata Kalvari
Msamaha wa dhambi
Niliupata Kalvari