Share this post:

Black queen – Mjomba Zuberi (Rosa Ree Diss) | Download

Audio
djmwanga July 13, 2025 0 Comments

🔥**Bifu yazidi kupamba moto kwenye game ya Bongo Fleva!**🔥
Msanii Black queen amerudi kivingine na ngoma mpya ya diss track iliyoelekezwa moja kwa moja kwa rapa ROSA REE. Akizungumza kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, aliandika:

“Diss hii nai dedicate Direct kwa ROSA REE. Kama ananiweza anijibu 👑
Am the Goddess of This Generation 🤝”

Wimbo huu unatajwa kuwa jibu kali kwa ngoma ya Mjomba Zuberi kutoka kwa Rosa Ree, ambayo iliwasha moto wa bifu kati ya hawa marapa wawili wakali wa kike kwenye gemu la hip hop ya Bongo.

Mashairi makali, mistari ya kejeli, na kujiamini kupindukia—ngoma hii ni zaidi ya muziki, ni vita ya maneno kwenye beat! 🎶

👇Sikiliza au download hapa chini na tuambie nani anakamata mic kwa sasa:

Download | Black queen – Mjomba Zuberi (Rosa Ree Diss) [Mp3 Audio]

 

Mjomba Zuberi By Rosa Ree LINK

AUDIO | Rosa Ree – Mjomba Zuberi | Download

Download MP3
0:00
0:00