Share this post:

AUDIO | Marioo – HA HA HA | Download

Audio
djmwanga June 6, 2025 17 Comments

Get ready for Marioo’s latest banger “HA HA HA” – a bold and infectious SingeliPiano track straight out of Tanzania! 🇹🇿🔥 With heavy basslines, catchy chants, and unapologetic lyrics, Marioo blends urban street vibes with Tanzania & South African  BongoPiano energy to deliver a dancefloor anthem.

In “Nacheka kwa dharau HA HA HA”, Marioo laughs at his doubters – celebrating growth, street smarts, and love games with a sarcastic twist. The hook “Nacheka kwa dharau, ha-ha-ha!” (I laugh with disrespect, ha-ha-ha!) is unforgettable, turning pain and hustle into pride and rhythm.

Download | Marioo – HA HA HA [Mp3 Audio]

 

Marioo – HA HA HA (Lyrics)

Chorus:
Nacheka kwa dharau, ha-ha-ha
Nawapandisha, nawashusha kama, ha-ha-ha
Nacheka kwa dharau, ha-ha-ha
Nawapandisha, nawashusha kama, ha-ha-ha


Verse 1:
Mjini akili nguvu, nenda shamba ukalime
Uone wenzako wajanja – akina Stepa Montana
Silaha, pesa, mambo – visumishu utarini
Watu wanasusha magorimee

Kamanda usinipeleke, ntakupa bukutan
Seke seke lote kwa tafutan
Kete kete tulikuwa mtu tano
Sa mbona naisha wenyewee?


Pre-Chorus:
Mwanamke, mwanamke (Wowowo)
Mwanaume, mwanaume (Furusi)
Mwanamke, mwanamke (Wowowo)
Mwanaume, mwanaume


Chorus:
Nacheka kwa dharau, ha-ha-ha
Nawapandisha, nawashusha kama, ha-ha-ha
Nacheka kwa dharau, ha-ha-ha
Nawapandisha, nawashusha kama, ha-ha-ha


Verse 2:
Yeye akimwaga mboga, mwaga ugali (Bado poa)
Mkikucheat mlipizia (Bado poa)
Mkileta mbwai, leta mbwai (Bado poa)
Kwani vipi? Kwani vipi? Mambo poa

Wee hukui
Mpaka leo bado nalilia mapenzi
WEeh, makuzini
Michezo, michezo, michezo hiyoo


Pre-Chorus:
Mwanamke, mwanamke (Wowowo)
Mwanaume, mwanaume (Furusi)
Mwanamke, mwanamke (Wowowo)
Mwanaume, mwanaume


Chorus (Repeat):
Nacheka kwa dharau, ha-ha-ha
Nawapandisha, nawashusha kama, ha-ha-ha
Nacheka kwa dharau, ha-ha-ha
Nawapandisha, nawashusha kama, ha-ha-ha

Download MP3
0:00
0:00