Download | Jay Melody – Wapekee Yangu [Mp3 Audio]
Lyrics
aaah aaah aaah jay once again
Vimacho na zake lipsi, kumpata sio rahisi
Yani kweli mungu umenibariki, mimi umenibariki
Na kabla ya hii gift, ukatufanya marafiki
Mpaka sasa penzi liko lit, moto kiukweli
yani kama, nimeokota dodo, chini ya mperaah
Nimeokota dodo ,nasiambiliki
Hata kidogo, mwenzenu mimi
Nimeokota dodo
Wapeke yangu huyu, x2
Wapeke yangu x2
Jamani wapeke yangu huyu
Wapeke yangu huyu,
Wapeke yangu x2
mapenzi gani haya anayonipa,
Mpaka damu nasikia inavyopita
Kwenye moyo mbio, kwenye mishipa
Au tuseme ndo kashanishika
Yani kama nimeokota dodo, chini ya mperaah
Nimeokota dodo nasiambilikiki, hata kidogo
Mwenzenu mimi, nimeokota dodo
Wapeke yangu huyu x2,
wapeke yangu x2
Jamani wapeke yangu huyu,
Wapeke peke yangu huyu
Wapeke yangux2
darling yuko moyoni, navomuota usingizini
Jamani darling yupo moyoni, navomuota usingizini
Wapeke yangu huyu x2
Wapeke yangu (ooh nananaaah)
Wapeke yangu
Jamani wapeke yangu huyu (mimi hapa)
Wapeke yangu huyu
Wapeke yangu x2
I LOVE YOU BABY”