Download | Play Now

AUDIO | Billnass Ft. Mbosso – Number one | Download

Download | Billnass Ft. Mbosso – Number one [Mp3 Audio]

 

Lyrics
Number One ft. Mbosso – Billnass

S2 kiz baby…….

Ntaomba mabawa nipae

mabawa nipae,,mpaka mbingu ya sita

Neema na baraka zitufae

baraka zitufaee,,kutoka kwa malaika

aah honey mi nadhalilika

yaan ulivonishika

aaaah honey mi nadhalilika

yaaan ulivonishika

mamaa mamaa mamaake

ntakupenda kesho,,nakupenda today

bado nahangaika natafuta niombee

mwenzako mi nawivu na sitaki tushare

mamaa mamaa mamaake

ntakupenda kesho,,nakupenda today

bado nahangaika natafuta niombee

mwenzako mi nawivu na sitaki tushare…

kwenye mamillion kwang we Namba one

one yooo….

Watayasema yote na bado hatuachani

aaaah iyoo,,,,

wakiniona zoba

as long as uko nami

wakisema unaniroga,,waambie unanirogea chumba

hata wakiniona zoba

as long as uko nami

wakisema unaniroga rogaa,,waambie unanirogea chumba

onanananaaa

Ntaomba mabawa nipae

Mabawa nipaee,,mpaka mbingu ya sita

Neema na baraka zitufae,,

Baraka zitufaee,,,kutoka kwa malaika

Honey mi nadhalilika

yaan ulivonishika

oooh honey mi nadhalilika

yaan ulivonishika

Ooh kwa hizi raha unazonipa mpaka naishiwa maneno..nampenda mama nampenda baba,,na wew ukiwemo

penzi ukishika nakata,,nakata kama msumeno

yaan tuzeeke wotee mpaka tung’oke meno

akili zaniruka,,likiitwa lako jina

Kwenye mabilioni kwangu we ndo namba one

aaah iyoooo

watayasema yote na bado hatuachani

chanii iyoo

ata wakiniona zoba,,as long as uko namii

wakisema unaniroga,,waambie unanirogea chumba

ata wakiniona zoba zobaa,,as long as uko namii

wakisema unaniroga rogaa,,waambie unanirogea chumba

onanaaa

Ntaomba mabawa nipae

Mabawa nipae,,mpaka mbingu ya sita

hadi mbingu ya sita

Rehema na baraka zitufae

Baraka zitufaee,,kutoka kwa malaika

aah honey mi nadhalilika,,dhalilikaaa

yaan ulivonishika

ooh honey mi nadhalilikaaa,,mi nadhalilika

yaan ulivonishika