AUDIO | Mimi Mars Ft. Nandy – Pole | Download

Download | Mimi Mars Ft. Nandy – Pole [Mp3 Audio]


Lyrics

“Lyrics Pole By Mimi Mars Ft. Nandy”

Ehhh, zombie
Mimi Mars chugga queen
The African princess

Hivi ushawahi sikia mtuu anaogeshwaa
na mdalasini
maana sio jina anatajaa mpaka ubini
tenaa akihumwaa huwaga atakii kwininiiii
anachokitakaa kuniona mimiii
tenaa mkaka kwanguu ndo kafaraaa
yan mazimaa aaaaaah
kwanguu hanaa shakaa kwakoo atakuja
Tomorrow
yan kazimaaa aaaah aaaah aaaah
nikwaambie tu me mdo wa kwanzaa
kamaaa ukitaka kukiwashaa tuna kiwashaaa
nikwambie tuuu me ndo wakwanzaaaaa
kamaa ukitakaa kukiwasha tunakukiwashaaa…..

Nasemaaa poleee
wachaa nikupe poleeeeee….
Mwenzanguu poleeee
wachaaa nikupee poleeee…..

Utanifanyaaa ninii kwanzaa kwa mfano…
weee utajuajee tupoo wa tanoo
ataa kwanguu mimii yaliyomoo yamoo…
oooooh ooooh yaliyomooo yamooo
Nampagaaa kwanii vya kizalamoo
tenaaa usijali mashindanoo
huniwezii ataa kwa muonekanoo…
aaaaah aaaah muonekano
sinaaa nomaaa sinaa nomaaaa
ninachotakaaa kukwambia sisi tushaaa pendanaa
sinaaaa nomaa sinaaa nomaaa
iiii eeeeeh ninachoo takaaa kukwambia
sisii tushaaa pendanaaa….

nikwambie tu nisha jipangaaa
kamaaa ukitakaa kukiwashaaa
Tunakiwashaaaa…..
nikwambie tuuuu nisha jipangaaa…
kamaaa ukitakaaa kukiwasha
tunakiwashaaa
nasemaaa poleee….
wachaaa nikupeee poleee….
mwenzanguuu poleeeee
wachaaa nikupee poleeee…..
aaaaah eeeeeeh ooooh……