AUDIO | Mocco Genius – Napendwa | Download

Download | Mocco Genius – Napendwa [Mp3 Audio]

Lyrics

Napendwa – Mocco Genius
Nakupa salamu pole ex mi kwanza saa Ivi na nenepa nilie kanitoa stress nimesahau michoko nilikotoka ivi bado anakupost bwanako anakupost wale nichamba mashoga zako ivi wapo wale mashosti number zako nilikwisha futa nimezitafuta tu nikupe taarifa nilimpata amenipata hodari mwenye kila sifa juzi nimeona umeposti picha insta umezidi kangaruka mifupa ilivyo kutoka utadhani umetapikwa na nyoka umekondeana pole pole sana vipi danga lako la masaki mumeshaachana si tumependezana tumependezana loba ya mapenzi alonikaba nishanibana yani raha ( napendwa napendwa napendwa napendwa aah ili chaka sing’oki napendwa napendwa napendwa napendwa nimeshatulizana )
mmmh una kazi ya kushindia vijora cream imekuharibu sura we na bwana wako mmekutana wote hamna hela serikali imekwisha isha sera kumbe chakula cha masela mie huku mwenzako penzi limechanganya mpela mpela ooh niliforce maji kupanda mlima nilipambana kuwasha kumbe una zima nikaugua baridi na kutetema yani maateso ukawa unaringa kama umepima na pole dada sasa umechina nimempata fundi Ronaldo dilema mineso nilijuwa tu tusingefika mbali wewe na mimi unapenda makuu ndio maana hukujali kidogo cha mimi umekondeana pole pole sana vipi danga lako la masaki mumeshaachana si tumependezana tumependezana loba ya mapenzi alonikaba nishanibana yani raha napendwa napendwa napendwa napendwa napendwa napendwa ili chaka sing’oki napendwa napendwa raha napendwa napendwa raha napendwa napendwa mama mama aaaaah
ad