AUDIO | Diamond Platnumz ft Mbosso – Oka | Download

Download | Diamond Platnumz ft Mbosso – Oka [Mp3 Audio]

Lyrics

Oka (feat. Mbosso) – Diamond Platnumz
Ashi ashika ashi
le general Dangote
ashi ashika ashi
kirungi bin shedede
kananipa Mambo ya pwani Hadi napandisha mazyiii
Dozi kitandani had nazimika ziii
Haniti chibu anakatisha chiii
ka nyakanga mwali anavyo katika
Jaman Ale Ale Ale (Alele)
Alelele (Alele)
ooh Ale (Alele)
Alelele (Alele)
Asa oka okaka
oka okaka
oka okaka
oka okaka
baby ooh
Unifanya Nini
mi mwana wa mwenzio maana kwako sioni umenifunga na sikio
ukinishika hapa (utamu)
ukinigusa huku (utamu)
Ukinichumu Mimi (utamu)
ukinibusubusu jaman
oka okaka
oka okaka
oka okaka
oka okaka
kama konokono mwenda pole kwenye mchanga
Nakupa mkono wa kongole baby we mwamba
Hesabu za kukokotoa umenifunza wewe
Waniamisha mikoa bumbuli kwa ukerewe
ooh mapenzi ni kinywaji soft Barid
wananuna mwenzao nikifaidi
ooh malezi amerithi upande wa Bibi
mwali nyuma Kama mlima itigi
Oka okaka
oka okaka
oka okaka
oka okaka
usizidishe chumvi ntapata safura
Nimeambiwa jusi unachezaga chura
Asa chura (Anarukaruka)
Chura (anajumpjump)
Ah chura oooh ooh (Anarukaruka)
jamn chura (Anajumpjump)
Adede adede adede adede adede
Adede adede adede adede Fagilia
Waaah
eeeh Fagilia
Waaah
Kusemasema kando hayo Mambo ya kinafiki
Kama wayaweza Mambo kuja unioneshe Kati
Chura (Anarukaruka)
Chura (Anajumpjump)
ooh chura (Anarukaruka)
Chura (Anajumpjump)
Adede adede adede adede adede yiiih
Adede adede adede adede Fagilia
Waaah
eeh Fagilia
Waaah
inde inde inde baby inde
inde inde inde nione inde
inde inde inde baby inde
asa inde inde inde nione inde
Huyo mtoto (anabalaa)
mtoto (Anakusudi)
muone mtoto (anabalaa)
Mtoto (Anakusudi)
oooh anasifa (anabalaa)
Sifa za makusudi (Anakusudi)
mwana anajibiringita (anabalaa)
kifudi fudi (Anakusudi)
ad