AUDIO | Paul Clement – Nashangilia | Download

Download | Paul Clement – Nashangilia [Mp3 Audio]

Lyrics

Nashangilia – Paul Clement
nashangilia sabab……. amejibu Haja ya Moyo wangu ×2najuaa
nashangilia sabab……. amejibu Haja ya Moyo wangu ×2
kwa imani yangu amenijibu,maswali magumu ya Moyo wangu
Ameniambia amerejesha kilichopoteaa,
nami Sina budi kushangilia,
Japo sijaona kwa macho,ila naamini neno lako Bwana Ni kweliii
eeeeei
nashangilia sababu Mungu…… amejibu Haja ya Moyo wangu ×2
Amenijibu maombi,Amejibu kwa wakati ehye ehye Amejibu kwa wakati
kwa kushangilia,Kuta za yeriko zimeanguka amefanya njia mbele yangu….Amejibu kwa wakati.
“Bwana kwako Kuna kila jibu,la kila swali na moyoni…
Akili yangu ifikikapo mwisho wewe ndipo unaanzia”
nashangilia sababu Mungu….. amejibu Haja ya Moyo wangu ×2
Nilipoanza Safari,nikafika mwisho nikakutana na Mwanzo wa Mungu.
Kumbe akili yangu ifikapo Mwisho..
Wewe ndipo unaanzia eeeey
nashangilia sababu Mungu…… amejibu Haja ya Moyo wangu ×2
eeh nashangilia-shangilia
amejibu haja ya -Moyo wangu
nafurahiaa-furahiaaaa
amejibu haja ya – Moyo want
nashangiliaaa-Shngilia
amejibu haja ya- moyo wangu