AUDIO | Mabula Enock – Tabasamu

Wimbo huu ni maalumu kumfariji ndugu
MABULA ENOCK alivelazwa hospital ya
BUGANDO MWANZA. Figo zake zote
zimefeli na kalazwa tangu mwezi wa pili
mwaka huu 2022. Huduma zinasua sua
sababu ya changamoto za kifedha.
Tunaomba wote tumuombee na
tumchangie kwa matibabu. Maelezo
zaidi piga namba +255 764 24 28 25

MC WILLEHARD Ft. LEVY MAMUYA, MEMORY, Mchungaji SAMWEL WERANDE – MABULA ENOCK TABASAMU

 

ad