Download | Mzee Wa Bwax Ft. Zungu Macha – Kafubaa [Mp3 Audio]
Lyrics
Kafubaa – Mzee Wa Bwax (TZ)
…
eti ninywe sumu kisa wewe, huo uongo we acha kujiongopea, na ile tattoo nilikuchora kifuani ile piko tu we acha kuiongelea,
Huna jipya wewe kwanza umedoda we ukija baa hununui hata soda×2
juzi kati nimekutana na ex wangu kakonda mbwa yule, masela nimekutana na ex wangu kafubaa mbwa yule,
we wanangu mekutana na ex wangu kakonda mbwa yule, we jama nimekutana na ex wangu kafubaa mbwa yule,
tena amepauka pau pau, mimi si alinidharau, amekauka kau kau mimi mwenzake ndo napanda dau.
We kwanza unayedate naye anakosea, hata kama tuliachana hivi kwanini akutese, Ona mwenzako najinenepea, nakula vitamu wala sinaga mapepe,
wewe kwanza unayedate naye anakosea, hata kama tuliachana sikusema akutese, ona mwenzako najinenepea, nakula vitamu wala sinapa mapepe
juzi kati nimekutana na ex wangu kakonda mbwa yule, ooh jama nimekutana na ex wangu kakonda mbwa yule,
We masela ex wangu kafubaa, hana pa kulala siku hizi anakesha baa×2
(Amini kwamba Mzee wa Bwax hapa mtoto wa nje ya ndoa, aah nikiwa na zungu mafia ugoko wa mende biskuti ya chuma kataa tuone, chumaaaa kwa chumaaa checheeeee!)
Weka tena, hatukutukutuuu hatukutaki,we umekondeana kama karatasiiii×2
oyaa man upele ka fenesi, we umevaa kipensi, upele ka fenesi dada si umevaa taiti,
upele ka fenesi, we umevaa kipensi, upele ka fenesi dada si umevaa taiti,
Oya jamani unacheza kama una umeme,
Wanangu mnaruka kama mna umeme,
Mzee wa bwax unacheza kama una umeme, mwanangu unacheza kama una umeme,
Basi tikisa ngongingo, we wowowo,
we ngongingoo,
(Aah we Dj Manyau, aah nimsalimie Meneja Mose msanii mkubwa, we Steve wa 23, Dadii masomo, wanangu wa macode brand, kinana wa macode, we Shaks, Izzo!)
DJ Manyau touchez baby!