Home Audio AUDIO&VIDEO | Tanzania Icons – Hayasahauliki

AUDIO&VIDEO | Tanzania Icons – Hayasahauliki

Wimbo huu ni zawadi kwa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. JPM alikua baba wa wanyonge, mtetezi wa masikini na mzalendo wa kweli. JPM ataishi ndani ya mioyo ya watanzania milele.

Download [AUDIO]

Download [VIDEO]

Previous articleVIDEO | Dogo sillah Ft. Rs family – Mama samia
Next articleVIDEO | Baba Kash – KIFO HAKINA HURUMA