Hatimaye Nyimbo iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu aliyoshirikishwa Nandy “The African Princess” Kwenye Album tarajiwa ya Navy Kenzo iendayo kwa jina la STORY OF THE AFRICAN MOB imedondoka rasmi leo na inapatikana katika jukwaa zote za muziki kupitia link Bampa2Bampa
Album Hiyo itatoka tarehe 4/09/2020 ila kwa sasa inpatikana kwa manunuzi ya awali kupitia link STORY OF THE AFRICAN MOBÂ