shalom shalom. Baraka Simalenga anapenda kuwa karibisha katika uzinduzi wa album yake ya ulinipenda kwanza ambayo imebeba nyimbo nane itakayo fanyika siku ya jmapil 2/ 12/ 2018 katika kanisa la E.A.G.T kivule kwa teacher nyuma ya sheri…hakika mungu alitupenda kwanza..akiinuka kijana limeinuka taifa