Home Audio VIDEO | ALIKIBA X Abdukiba X Cheed X K2ga X Killy –...

VIDEO | ALIKIBA X Abdukiba X Cheed X K2ga X Killy – Mwambie Sina

Official VIDEO King’s Music MWAMBIE SINA


ALIKIBA “Baada ya kufanya muziki kwa miaka zaidi ya 15 na kufanikiwa kupata mafanikio makubwa sasa ni wakati rasmi wa kurudisha kwa jamii kwa kusaidia kukuza sanaa kwa kutambulisha na kuvipa support vipaji vipya kwa industry. Nawatambulisha kwenu vijana wangu Cheed, Killy, K2ga na Abdukiba kutoka record label yangu – King’s Music.”

ALIKIBA “After a successful journey in my music industry, it is time to give back and nurture upcoming talent. I am thrilled to introduce to the young and talented musicians Cheed, Killy, K2ga na Abdukiba from my record label King’s Music.”
Previous articleAUDIO | King Kenzo Ft Godzilla – Wivu | Download
Next articleAUDIO | ALIKIBA X Abdukiba X Cheed X K2ga X Killy – Mwambie Sina | Download