Download | Play Now

JINSI YA KUJIUNGA NA 1XBET TANZANIA

1xBet ni kampuni ya mikeka ambayo ni bora na iliyokidhi vigezo vya kimataifa katika sekta hii ya mikeka. Kampuni wanakupatia huduma bora na kukupatia michezo mingi ambayo inakufanya uwe na uchaguzi mkubwa unapokuwa unaweka mikeka yako. Pia 1xBet wanakuwezesha kushinda pesa zaidi hata ya shilingi milioni mia moja katika tiketi moja utakayoweka na pia wanazo njia nyingi zaidi ya 50 za kuweka na kutoa pesa katika akaunti yako. 1xBet wanatoa huduma kwa haraka na zilizo bora. Wakubet baada ya kuifanyia utafiti na uchambuzi imeweza kuridhika na 1xBet na kukuambia wewe mdau wa mikeka kwamba hii ndio kampuni tulikuwa tunaisubiri na inayokufaa. Fuata maelekezo hapa chini uweze kujiunga na 1XBet na ufurahie mchezo huu.
HATUA YA 1
Ingia katika tovuti ya 1XBet kwa kubofya hapa 1XBet.com na kisha bofya sehemu iliyoandikwa registration
HATUA YA 2
Baada ya kuwa umebofya registration itakuletea njia mbalimbali za kufanya usajili ambazo ni:
  1. One Click
  2. By phone number (kwa namba ya simu)
  3. By E-mail (kwa barua pepe)
  4. Social network (mitandao ya kijamii)
Chagua njia unaoona kwa kwako ni rahisi. Na endapo utatumia njia ya simu (by phone number) hakikisha unatumia namba ya vodacom au airtel ambayo ndiyo utakuwa ukitumia kuweka na kutoa pesa. Na endapo utatumia njia hii taarifa na neno siri (password vitatumwa kwenye simu yako) kumbuka sehemu ya promo code kuweka namba hizi  1x_12702
Njia nzuri ambayo tunapendekeza uweze kutumia kujiunga ni njia ya e-mail ambapo baada ya kuwa umebofya sehemu ya e-mail itakuletea fomu ambayo utajaza taarifa zako na sehemu ya promo code andika namba 1x_17256  na namba hii inatumika kama promo code kwa usajili wowote utakaochagua.
Baada ya kuwa umejaza taarifa zako bofya sehemu iliondikwa register kisha utatumiwa link katika email yako uliyotumia kujisajili ambapo utatakiwa kuingia kwenye email yako na kuibofya hiyo link kuifanya akaunti yako iwe tayari kutumika na baada ya hapo tayari utakuwa umeweza kujiunga na 1xBet.
​
JINSI YA KUWEKA PESA KWENYE AKAUNTI YAKO YA 1XBET
Baada ya kuwa tayari umekwishajiunga na 1xBet ili kuweka pesa katika akaunti yako unatakiwa kubofya sehemu iliyoandikwa My account kisha utabofya sehemu iliyoandikwa Deposit.
Baada ya kuwa umebofya Deposit utabofya sehemu iliyoandikwa mobile payments kisha utaona njia tatu za kuweka pesa katika akaunti yako ambayo ni Airtel Money, Tigo Pesa na Vodacom M-Pesa
Baada ya hapo utachagua njia utakayotumia kati ya hizo mbili na utatumia namba ambayo umetumia kujisajili 1xBet. Kwa mfano endapo utachagua Airtel Money basi utaweka kiwango unachotaka kuweka katika akaunti yako kwa mfumo wa shilingi na senti (kwa mfano unataka kuweka shilingi elfu ishirini basi unapaswa kuweka20000.00) kisha utaweka namba yako ya Airtel ambayo umetumia kujisajili 1xBet kisha utabofya confirm.
Baada ya hapo utatumiwa ujumbe kwenye simu yako ukikuelekeza namna ya kuweka pesa katika akaunti yako. Maelekezo haya ni kwa njia ya Vodacom M-Pesa na Tigo Pesa pia. Ukiishaweka pesa yako muda huo huo utaiona katika akaunti yako na utaanza kuweka mikeka yako ukifurahia huduma za 1XBet.
​
Jinsi ya kutoa pesa zako katika akaunti ya yako baada ya kwenda kwenye My account utachagua Withdrawal  na utachagua mobile payments kisha utachagua kati ya Airtel Money, Tigo Pesa na Vodacom M-Pesa.
​
Mballi na njia hizo mbili unaweza ukatumia njia nyingine zozote kwa kadiri uwezavyo kama zilivyoainishwa katika tovuti ya 1xBet.
JINSI YA KUWEKA PESA KUPITIA AIRTEL MONEY, VODACOM M-PESA NA TIGO PESA KUPITIA DUSU PAY
Endapo kama umechagua kuweka pesa kwenye akaunti yako ya 1xBet kupitia mobile payment na ikakutelea sehemu ya kuweka pesa tu pasipo kuonyesha sehemu ya kuweka namba yako ya simu kama inavyoonekana kwenye picha hapa chini basi utafuata hatua zifuatazo kukamilisha muamala wako.
Utaweka kiasi cha pesa unachotaka kuweka kisha utabofya confirm na itakuletea kama inavyoonekana hapa chini
Hapa utabofya sehemu iliyoandikwa select payment option na utachagua sehemu iliyoandikwa (Tanzania)Mobile Money picha inavyoonyesha hapa chini
Baada ya hapo utachagua sehemu iliyoandikwa select your network kisha utachagua mtandao unaotumia kutuma pesa kati ya Vodacom Mpesa, Tigo Pesa na Airtel Money
Baada ya hapo utapewa maelekezo jinsi ya kuweka pesa ambapo namba ya kampuni ni 400700 na namba ya kumbukumbu 008 dusupay kama inavyoelekeza. Baada ya kuwa umeweka pesa kwa njia ya simu utabofya sehemu iliyoandikwa click here to complete your payment
Baada yapo utajaza taarifa zako kama inavyoonekana hapo chini ambazo ni:

  1. Namba yako ya simu ukianza na 255 (mfano 25575320030000)
  2. Namba ya uthibitisho wa malipo ambayo unapata kwenye ujumbe wa simu unaotumiwa baada ya kufanya malipo (Kwa mfano kwenye vodacom M- Pesa zile namba zinazoanza kwamba 5A93133DX2XN Imethibitishwa Tshs. 2,000.00 imetumwa kwa M Lipa…….)
  3. Majina yako kamili uliyotumia kujisajili 1xBet
  4. Barua pepe yako (E-Mail)
  5. Hapo sasa utakuwa umefanikiwa kuweka pesa yako ambayo itakaonekana kwenye akaunti yako ndani ya sekunde chache na unaweza kucheza na kufarahia huduma za 1xbet
  6. Kama kuna tatizo lolote unaweza kuwasiliana nasi kwa ===>whatsapp group

    Tuandikie kwenye 1xbet facebook page===>https://www.facebook.com/Tanzania1xbet/