Tafadhali kama una App yetu ya DJMwanga App na unapata Tatizo la kutoziona nyimbo Mpya Basi fuata Maelekezo Yafuatayo.,
>Nenda Play Store , Tafuta “DJMwanga” Kisha Bonyeza Install au Bonyeza Update.
Baada ya App kumaliza Ku-update/ Ku-install fungua App na utaona Tayari Nyimbo Zimekuja…
Pia Kwa Sasa Utaweza Kupata Taarifa/Notifications Pindi tu Tutakapoweka Nyimbo Mpya.
Pia utaweza kutafta(Search) nyimbo zote za Sasa na zaZamaani Kwenye Application ya DJMwanga.
Asante Kwa Kuchagua DJMwanga App kama Website yako ya Burudani na Tuwie Radhi Kwa Tatizo lililotokea.
Pia unaweza Kuidownload Kwa KUBONYEZA HAPA